Chadema Kupeperusha Bendera Nusu Mlingoti Kumuenzi Ndesamburo


Kufuatia kifo cha aliyekuwa M/Kiti wa CHADEAM mkoa wa Kilimanjaro mzee Ndesamburo uongozi wa chama hicho umetoa tamko la kupeperusha bendera yao ya chma nusu mlingoti kumuenzi ambaye aliwahi kuwa mbunge kwa miaka 15 kwa tiketi ya CHADEMA. Visit Subscribe />Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, amesema serikali ipo makini kuhakikisha watu wote wanaoingia kwenye mipaka ya nchi, hasa kutokea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wanapimwa. Visit Subscribe />Waziri Ummy amesema wamesambaza mashine maalum zilizopo kwenye mipaka ya nchi na kwamba endapo mtu yeyote atahisiwa kuwa na ugonjwa huo, wameshatoa mafunzo ya kutosha kwa madaktari na wasimamizi wa vituo vya mipakani juu ya nini cha kufanya.Visit Subscribe />Pia ameeleza kwamba kuna utaratibu maalum wa kujaza fomu kuonesha kwamba kila mtu anayeingia nchini kutoka kwenye nchi zenye mlipuko wa ugonjwa huo hatari, amepimwa na yupo salama kiafya. Visit Subscribe />Kwa upande wa sakata la mwanamke kudaiwa kuibiwa kichanga chake kwenye Hospitali ya Temeke, Waziri Ummy amesema baada ya mwanamke huyo kukataa ripoti ya mganga mkuu inayoonesha kwamba hakuwa na watoto mapacha, ameamua kuunda kamati maalum itakayohusisha jopo la wataalam ambapo watatoa majibu baada ya siku 14. Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /> /> />WEBSITE: />FACEBOOK: />TWITTER: />INSTAGRAM:ELONGO LUSAMBYA
poleni sana wandugu
lobulu mollel
r.i.p mzee wetu Ndesamburo
Kanaan Samwel
mungu amtangulie R I P
Gyseven George
r.I.p